Pricing

Vifurushi vya Sauti Yako

Chagua kifurushi kinachofaa mahitaji yako ya kutengeneza sauti.

Kifurushi cha Kazi
$5.99 /mwezi
  • Sauti Max, Pro, na Lite (Injini zote)
  • Nafasi 1 ya Kutengeneza Sauti yako (Voice Cloning)
  • Sekunde 90 kwa kila jaribio la kurekodi
  • Majaribio 5 ya Voice Cloning
  • Muda wa kutosha wa Text-to-Speech
Nunua Kifurushi
Kifurushi cha Mkuu
$14.99 /mwezi
  • Ubora wa Juu (Sauti Max & Pro)
  • Nafasi 2 za Kutengeneza Sauti (Voice Cloning)
  • Sekunde 180 kwa kila jaribio la kurekodi
  • Majaribio 10 ya Voice Cloning
  • Kipaumbele kwenye spidi ya mfumo (High Speed)
Nunua Kifurushi
Huduma za Biashara
Maalum
  • Maongezi ya TTS (Conversation/Dialogue TTS)
  • Huduma za Mapokezi (Reception Assistance)
  • Utengenezaji Sauti zenye Ubora wa Studio
  • API Access & Custom Integrations
  • Msaada wa kiufundi masaa 24
Wasiliana Nasi

Ongeza Salio la Muda (Top Ups)

Salio lako limeisha? Ongeza muda wa ziada ili uendelee kutumia mfumo bila kikomo.

Dakika 15 Top Up
$5.99

Ongeza muda wa dakika 15 za kutengeneza sauti papo hapo kwenye akaunti yako.

Ongeza Salio
Dakika 30 Top Up
$6.99

Ongeza muda wa dakika 30 za kutengeneza sauti. Inafaa kwa miradi ya kati.

Ongeza Salio
Saa 1 na Nusu Top Up
$18.99

Ongeza masaa 1.5 ya kutengeneza sauti. Suluhisho bora kwa kazi kubwa na ndefu.

Ongeza Salio
Shopping Cart
Scroll to Top